Ukubwa wa maandishi EN SW SO

Sauti zenu zimefika KRA 🎉

Maelfu ya wazazi na walezi waliongea kuhusu draft Income Tax (Persons with Disabilities, Parents or Guardians Tax Exemptions) Regulations, 2026 — na kila sauti ilihesabiika. NCP-CDK ilizikusanya zote katika memorandum moja yenye nguvu, ambayo sasa imewasilishwa rasmi kwa Kenya Revenue Authority.

Kenya Revenue Authority — Public Participation 2026

🎉 Tumefanikiwa — pamoja!

Sauti zenu zimesikika. Memorandum iko rasmi mikononi mwa KRA!

Maelfu ya wazazi na walezi waliongea — na kila sauti ilihesabiika. NCP-CDK ilikusanya hadithi, majibu na mapendekezo yenu yote katika memorandum moja yenye nguvu kuhusu draft Income Tax (Persons with Disabilities, Parents or Guardians Tax Exemptions) Regulations, 2026, na sasa imewasilishwa rasmi kwa Kenya Revenue Authority.

Huu ndio ukweli wa jamii: familia zikiongea kwa sauti moja, kwa ajili ya kila mtoto na kila mlezi nchini Kenya. 💙

Michango kwenye ukurasa huu imefungwa — lakini safari bado inaendelea. Tutakufahamisha hatua zinazofuata za KRA hapa na kwenye ukurasa wa habari. Asante sana kwa kusimama nasi!